2 Sam. 3:6 SUV

6 Ikawa, wakati vilipokuwapo vita kati ya nyumba ya Sauli na nyumba ya Daudi, Abneri akajipatia nguvu nyumbani kwa Sauli.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 3

Mtazamo 2 Sam. 3:6 katika mazingira