2 Sam. 3:7 SUV

7 Basi Sauli alikuwa na suria, jina lake akiitwa Rispa, binti Aya; Ishboshethi akamwuliza Abneri, Kwa nini umeingia kwa suria ya babangu?

Kusoma sura kamili 2 Sam. 3

Mtazamo 2 Sam. 3:7 katika mazingira