2 Sam. 5:11 SUV

11 Kisha Hiramu, mfalme wa Tiro, akatuma wajumbe kwa Daudi, akampelekea na mierezi, na maseremala, na waashi; nao wakamjengea Daudi nyumba.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 5

Mtazamo 2 Sam. 5:11 katika mazingira