2 Sam. 5:12 SUV

12 Akajua Daudi ya kwamba BWANA amemweka imara awe mfalme juu ya Israeli, na ufalme wake ameutukuza kwa ajili ya watu wake, Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 5

Mtazamo 2 Sam. 5:12 katika mazingira