2 Sam. 5:19 SUV

19 Basi Daudi akauliza kwa BWANA, akisema, Je! Nipande juu ya Wafilisti? Utawatia mkononi mwangu? Naye BWANA akamwambia Daudi, Panda; kwa kuwa hakika nitawatia Wafilisti mikononi mwako.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 5

Mtazamo 2 Sam. 5:19 katika mazingira