2 Sam. 5:20 SUV

20 Basi Daudi akaja Baal-perasimu, naye Daudi akawapiga huko; akasema, BWANA amewafurikia adui zangu mbele yangu, kama mafuriko ya maji. Basi akapaita mahali pale Baal-perasimu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 5

Mtazamo 2 Sam. 5:20 katika mazingira