2 Sam. 6:16 SUV

16 Ikawa, sanduku la BWANA lilipoingia mji wa Daudi Mikali, binti Sauli, akachungulia dirishani, akamwona mfalme Daudi akiruka-ruka na kucheza mbele za BWANA; akamdharau moyoni mwake.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 6

Mtazamo 2 Sam. 6:16 katika mazingira