2 Sam. 6:17 SUV

17 Wakaliingiza sanduku la BWANA, na kuliweka mahali pake, katikati ya hema aliyoipiga Daudi kwa ajili yake, naye Daudi akatoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani mbele za BWANA.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 6

Mtazamo 2 Sam. 6:17 katika mazingira