2 Sam. 6:18 SUV

18 Kisha Daudi alipokwisha kutoa sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani akawabarikia watu kwa jina la BWANA wa majeshi.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 6

Mtazamo 2 Sam. 6:18 katika mazingira