2 Sam. 7:18 SUV

18 Ndipo Daudi, mfalme, akaingia, akaketi mbele za BWANA, akasema, Mimi ni nani, Bwana MUNGU, na nyumba yangu ni nini, hata umenileta hata hapa?

Kusoma sura kamili 2 Sam. 7

Mtazamo 2 Sam. 7:18 katika mazingira