2 Sam. 7:19 SUV

19 Tena jambo hili lilikuwa dogo machoni pako, Ee Bwana MUNGU; hata umeleta habari ya nyumba yangu mimi, mtumwa wako, kwa miaka mingi inayokuja baadaye; na hayo kwa namna ya kibinadamu, Ee Bwana MUNGU.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 7

Mtazamo 2 Sam. 7:19 katika mazingira