2 Sam. 7:26 SUV

26 Jina lako na litukuzwe milele, kusema, BWANA wa majeshi ndiye Mungu juu ya Israeli; na nyumba ya mtumwa wako, Daudi, itakuwa imara mbele zako.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 7

Mtazamo 2 Sam. 7:26 katika mazingira