2 Sam. 7:27 SUV

27 Kwa kuwa wewe, BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli umenifunulia mimi, mtumwa wako, ukisema, Nitakujengea nyumba; kwa hiyo mimi, mtumwa wako, nimeona vema moyoni mwangu nikuombe dua hii.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 7

Mtazamo 2 Sam. 7:27 katika mazingira