2 Sam. 7:8 SUV

8 Basi, sasa, mwambie mtumishi wangu, Daudi, maneno haya, BWANA wa majeshi asema hivi, Nalikutwaa katika zizi la kondoo, katika kuwaandama kondoo, ili uwe mkuu juu ya watu wangu, juu ya Israeli;

Kusoma sura kamili 2 Sam. 7

Mtazamo 2 Sam. 7:8 katika mazingira