2 Sam. 7:9 SUV

9 nami nimekuwa pamoja nawe kila ulikokwenda, na kuwakatilia mbali adui zako wote mbele yako; nami nitakufanyia jina kuu, kama jina la wakuu walioko duniani.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 7

Mtazamo 2 Sam. 7:9 katika mazingira