2 Sam. 8:4 SUV

4 Daudi akampokonya wapanda farasi elfu na mia saba na askari waliokwenda kwa miguu ishirini elfu; Daudi akawakata mshipa farasi wote wa magari, ila farasi wa magari mia akawasaza.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 8

Mtazamo 2 Sam. 8:4 katika mazingira