2 Sam. 8:5 SUV

5 Na Washami wa Dameski walipokuja kumsaidia Hadadezeri, mfalme wa Soba, Daudi akawapiga wa Washami watu ishirini na mbili elfu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 8

Mtazamo 2 Sam. 8:5 katika mazingira