2 Sam. 8:6 SUV

6 Daudi akaweka ngome katika Shamu ya Dameski, na hao Washami wakawa watumwa wa Daudi, wakaleta zawadi. Naye BWANA akampa Daudi kushinda kila alikokwenda.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 8

Mtazamo 2 Sam. 8:6 katika mazingira