2 Sam. 9:2 SUV

2 Palikuwa na mtumishi mmoja wa nyumba ya Sauli, jina lake Siba, basi wakamwita aende kwa Daudi; na mfalme akamwuliza, Wewe ndiwe Siba? Naye akasema Mimi, mtumwa wako ndiye.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 9

Mtazamo 2 Sam. 9:2 katika mazingira