2 Sam. 9:3 SUV

3 Mfalme akasema, Je! Hakuna hata sasa mtu ye yote wa nyumba ya Sauli, nipate kumtendea mema ya Mungu? Siba akamwambia mfalme, Yonathani anaye mwana hata sasa, aliye na kilema cha mguu.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 9

Mtazamo 2 Sam. 9:3 katika mazingira