2 Sam. 9:6 SUV

6 Basi Mefiboshethi, mwana wa Yonathani, mwana wa Sauli akaenda kwa Daudi, akaanguka kifudifudi, akasujudu. Daudi akasema, Mefiboshethi! Naye akaitika, Mimi hapa, mtumwa wako!

Kusoma sura kamili 2 Sam. 9

Mtazamo 2 Sam. 9:6 katika mazingira