2 Sam. 9:7 SUV

7 Daudi akamwambia, Usiogope, maana bila shaka nitakutendea mema; kwa ajili ya Yonathani, baba yako, nami nitakurudishia mashamba yote ya Sauli, baba yako; nawe utakula chakula mezani pangu daima.

Kusoma sura kamili 2 Sam. 9

Mtazamo 2 Sam. 9:7 katika mazingira