Amo. 1:13 SUV

13 Haya ndiyo asemayo BWANA; Kwa makosa matatu ya wana wa Amoni, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu wamewapasua wanawake wa Gileadi wenye mimba, ili wapate kuongeza mipaka yao;

Kusoma sura kamili Amo. 1

Mtazamo Amo. 1:13 katika mazingira