11 Nami nikawainua watu miongoni mwa wana wenu wawe manabii, na katika vijana wenu wawe Wanadhiri; je! Sivyo hivyo, enyi wana wa Israeli? Asema BWANA.
Kusoma sura kamili Amo. 2
Mtazamo Amo. 2:11 katika mazingira