6 Mimi nami nimewapa usafi wa meno katika miji yenu yote, na kutindikiwa na mkate mahali penu pote; lakini hamkunirudia mimi, asema BWANA.
Kusoma sura kamili Amo. 4
Mtazamo Amo. 4:6 katika mazingira