15 Yachukieni mabaya; yapendeni mema; mkaithibitishe haki langoni; yamkini kwamba BWANA, Mungu wa majeshi, atawafanyia fadhili mabaki ya Yusufu.
Kusoma sura kamili Amo. 5
Mtazamo Amo. 5:15 katika mazingira