Amo. 5:5 SUV

5 bali msitafute Betheli, wala msiingie Gilgali, wala msipite kwenda Beer-sheba; kwani Gilgali hakika yake itakwenda utumwani, na Betheli itakuwa ubatili.

Kusoma sura kamili Amo. 5

Mtazamo Amo. 5:5 katika mazingira