Amo. 6:8 SUV

8 Bwana MUNGU ameapa kwa nafsi yake, asema BWANA, Mungu wa majeshi; Naizira fahari ya Yakobo, nachukizwa na majumba yake; kwa sababu hiyo nitautoa huo mji, pamoja na wote waliomo ndani yake.

Kusoma sura kamili Amo. 6

Mtazamo Amo. 6:8 katika mazingira