Amo. 7:8 SUV

8 BWANA akaniambia, Amosi, unaona nini? Nikasema, Naona timazi. Ndipo Bwana akasema, Tazama, nitaweka timazi kati ya watu wangu Israeli; sitawapita tena kamwe;

Kusoma sura kamili Amo. 7

Mtazamo Amo. 7:8 katika mazingira