12 Nao watatanga-tanga toka bahari hata bahari; na toka upande wa kaskazi hata upande wa mashariki; watapiga mbio, wakienda huko na huko, kulitafuta neno la BWANA, wasilione.
Kusoma sura kamili Amo. 8
Mtazamo Amo. 8:12 katika mazingira