Amo. 8:8 SUV

8 Kwa ajili ya hayo, je! Haitatetemeka nchi, na kuomboleza kila mtu akaaye ndani yake? Naam, itainuka yote pia kama huo Mto; nayo itataabika na kupwa tena kama Mto wa Misri.

Kusoma sura kamili Amo. 8

Mtazamo Amo. 8:8 katika mazingira