Amo. 9:3 SUV

3 Nao wajapojificha katika kilele cha Karmeli, nitawatafuta na kuwatoa toka huko; na wajapositirika katika vilindi vya bahari nisiwaone, nitamwagiza joka huko, naye atawauma.

Kusoma sura kamili Amo. 9

Mtazamo Amo. 9:3 katika mazingira