Amu. 1:17 SUV

17 Kisha Yuda akaenda pamoja na nduguye Simeoni, na wakawapiga Wakanaani waliokaa katika Sefathi, na kuuharibu mji kabisa. Na jina la mji huo ulikuwa ukiitwa Horma.

Kusoma sura kamili Amu. 1

Mtazamo Amu. 1:17 katika mazingira