Amu. 1:21 SUV

21 Lakini wana wa Benyamini hawakuwafukuza Wayebusi waliokaa mji wa Yerusalemu; bali Wayebusi walikaa pamoja na wana wa Benyamini ndani ya Yerusalemu hata hivi leo.

Kusoma sura kamili Amu. 1

Mtazamo Amu. 1:21 katika mazingira