Amu. 1:29 SUV

29 Efraimu naye hakuwatoa Wakanaani waliokuwa wakikaa katika Gezeri; lakini Wakanaani walikaa ndani ya Gezeri kati yao.

Kusoma sura kamili Amu. 1

Mtazamo Amu. 1:29 katika mazingira