Amu. 1:5 SUV

5 Wakampata huyo Adoni-bezeki huko Bezeki; wakapigana naye, nao wakawapiga Wakanaani na Waperizi.

Kusoma sura kamili Amu. 1

Mtazamo Amu. 1:5 katika mazingira