Amu. 1:9 SUV

9 Baadaye wana wa Yuda wakatelemka ili wapigane na hao Wakanaani waliokaa katika nchi ya milimani, na nchi ya Negebu, na nchi ya Shefela.

Kusoma sura kamili Amu. 1

Mtazamo Amu. 1:9 katika mazingira