Amu. 10:16 SUV

16 Nao wakaiondoa hiyo miungu ya kigeni iliyokuwa kati yao, nao wakamtumikia BWANA; na roho yake ilihuzunika kwa sababu ya msiba wa Israeli.

Kusoma sura kamili Amu. 10

Mtazamo Amu. 10:16 katika mazingira