Amu. 10:18 SUV

18 Na hao watu, wakuu wa Gileadi, wakaambiana wao kwa wao, Je! Ni mtu yupi atakayeanza kupigana na wana wa Amoni? Yeye atakuwa ni kichwa juu ya wenyeji wote wa Gileadi.

Kusoma sura kamili Amu. 10

Mtazamo Amu. 10:18 katika mazingira