Amu. 10:4 SUV

4 Huyo alikuwa na wana thelathini waliokuwa wakipanda wana-punda thelathini, nao walikuwa na miji thelathini, ambayo inaitwa Hawoth-yairi hata hivi leo, nayo iko katika nchi ya Gileadi.

Kusoma sura kamili Amu. 10

Mtazamo Amu. 10:4 katika mazingira