Amu. 10:8 SUV

8 Nao wakawasumbua na kuwaonea wana wa Israeli mwaka huo; waliwaonea wana wa Israeli wote waliokuwa ng’ambo ya pili ya Yordani katika nchi ya Waamori, iliyoko huko Gileadi, muda wa miaka kumi na minane.

Kusoma sura kamili Amu. 10

Mtazamo Amu. 10:8 katika mazingira