Amu. 11:2 SUV

2 Mkewe huyo Gileadi akamzalia wana; na hao wana wa mkewe hapo walipokuwa wamekua wakubwa wakamtoa Yeftha, na kumwambia, Wewe hutarithi katika nyumba ya babaetu; kwa sababu wewe u mwana wa mwanamke mwingine.

Kusoma sura kamili Amu. 11

Mtazamo Amu. 11:2 katika mazingira