Amu. 11:25 SUV

25 Na wewe sasa, je! U mwema kuliko Balaki mwana wa Sipori, huyo mfalme wa Moabu, kwa lo lote? Je! Yeye alishindana na Israeli, au kupigana nao?

Kusoma sura kamili Amu. 11

Mtazamo Amu. 11:25 katika mazingira