Amu. 11:33 SUV

33 Akawapiga kutoka Aroeri hata kufikilia Minithi, miji ishirini, na mpaka Abel-keramimu, akawapiga kwa machinjo makuu mno. Basi hivyo wana wa Amoni walishindwa mbele ya wana wa Israeli.

Kusoma sura kamili Amu. 11

Mtazamo Amu. 11:33 katika mazingira