Amu. 13:1 SUV

1 Wana wa Israeli wakafanya tena yaliyo mabaya mbele za macho ya BWANA, BWANA akawatia katika mikono ya Wafilisti, muda wa miaka arobaini.

Kusoma sura kamili Amu. 13

Mtazamo Amu. 13:1 katika mazingira