Amu. 13:11 SUV

11 Basi Manoa akainuka, akamwandama mkewe, na kumfikilia mtu huyo, akamwuliza, Je! Wewe ndiwe mtu yule aliyenena na huyu mwanamke? Akasema, Naam, ni mimi.

Kusoma sura kamili Amu. 13

Mtazamo Amu. 13:11 katika mazingira