Amu. 13:17 SUV

17 Manoa akamwambia huyo malaika wa BWANA, Jina lako ni nani, ili kwamba hapo hayo maneno yako yatakapotimia nipate kukutukuza?

Kusoma sura kamili Amu. 13

Mtazamo Amu. 13:17 katika mazingira