Amu. 14:19 SUV

19 Roho ya BWANA ikamjilia juu yake kwa nguvu, naye akatelemkia Ashkeloni, akapiga watu waume thelathini katika watu hao, na kuzitwaa nyara zao, na kuwapa hao waliokitambua kitendawili mavao hayo. Hasira zake zikamwaka, naye akakwea kwenda nyumbani kwa baba yake.

Kusoma sura kamili Amu. 14

Mtazamo Amu. 14:19 katika mazingira