Amu. 16:15 SUV

15 Mwanamke akamwambia, Wawezaje kusema, Nakupenda; na moyo wako haupo pamoja nami? Umenidhihaki mara hizi tatu, wala hukuniambia asili ya nguvu zako nyingi.

Kusoma sura kamili Amu. 16

Mtazamo Amu. 16:15 katika mazingira