Amu. 17:10 SUV

10 Mika akamwambia, kaa pamoja nami, uwe kwangu baba, tena kuhani, nami nitakupa fedha kumi mwaka kwa mwaka, na nguo ya kuvaa, na vyakula. Basi huyo Mlawi akaingia ndani.

Kusoma sura kamili Amu. 17

Mtazamo Amu. 17:10 katika mazingira